Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 7, 2012

Wanafunzi wanatakiwa kuelimishwa masuala ya biashara tangai wakiwa shuleni

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Kihara Maina (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) mwishoni mwa wiki, katika mafunzo kuhusu taaluma za kibenki na ujasiriamali ikiwa ni sehemu ya matukio ya benki hiyo kuadhimisha siku maalum ambapo wafanyakazi wake hujitolea kufanya kazi za kijamii waliyoipa jina la ‘Make a Difference Day’. (Picha na mpiga picha wetu)

0 comments:

Post a Comment