Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 7, 2012

Wadau wa Hubert Kairuki wala Nondo

SEHEMU ya madaktari wa binadamu waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) wakila kiapo wakati wa mahafali ya kumi ya chuo hiccho yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Picha na mpiga picha wetu)  


0 comments:

Post a Comment