Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, April 1, 2013

Poleni wanafunzi mlioumia katika ajali ya ghorofa

Pole wewe Mwanafunzi wa Al Muntazir, katika kuporomoka kwa jengo hilo mwanafunzi huyu alibahatika kupona na kwa kiasi kikubwa anaendelea vema hospitali alikolazwa

0 comments:

Post a Comment