Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, April 1, 2013

Wanafunzi Bagamoyo wabakwa

Hivi jana tu mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi alitoa amri kwa Polisi kuwakamata wafugaji ambao wanatabia ya kuwabaka wanafunzi ambao wanakuwa wakielekea shuleni

0 comments:

Post a Comment