Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, April 8, 2013

Tigo yakabidhi vitabu kwa shule

Picha ya pamoja watoto hawakujali cha matope wala nini walijipanga kuchukua vitabu vyao

Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Charles Bishuli  akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Mrubona Angel Noel moja kati ya vitabu vilivyotolewa na kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo kwa shule hiyo juzi

0 comments:

Post a Comment