![]() |
| Nakaribishwa katika maktaba moja ipo Saadani vijijini mkoani Tanga |
![]() |
| Hapa ndipo anapoweka vitabu vyake huyu mmiliki wa maktaba hiyo |
![]() |
| Hap ndipo kwa ndani ya maktaba yake ambapo anafundisha na kuwapatia wanafunzi fursa ya kusoma vitabu bure |
Hili ni darasa lililopo Saadani katika mbuga kabisa
![]() |
| Wanafunzi wakichota maji |












0 comments:
Post a Comment