| Shule hii ipo Msasani ina mandhari mazuri ya kufundishia |
| Ina sehemu kubwa ya kupumzikia watoto wakiwa shuleni hapo |
| Majengo ni mazuri na ya kisasa |
| Michezo ipo mingi na pia ni ya kujifunzia na kuchezea kwa watoto vilevile |
| Si unaona madarasa hayo |
| Mabembea na kila aina ya michezo vipo humo |
| Mmiliki wa shule hiyo Elizabeth Mahiga, mke wa balozi Mahiga akipanga viti vya watoto shuleni hapo |
| Mabaiskeli ya kuchezea watoto yapo mengi pia. |







0 comments:
Post a Comment