Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, April 4, 2012

Wanafunzi ambao pia ni wanamitindo wamepata kuchaguliwa kufanya kazi za uanamitindo Afrika Kusini

Bernad  Chizi amechaguliwa pia lakii inatakiwa kuja kusoma Afrika Kusini ili aweze kufanya vema zaidi
 Mwanamitindo wa kitanzania Millen Magese akitoa somo kwa mmiliki wa kampuni ya INC inayoshughulika na uanamitindo alimwelezea umuhimu wa kuwaendeleza kiuanamitindo na elimu mdau huyo wa mitindo wa hapa Afrika Kusini
Mwanafunzi wa UDSM Anastazia akipimwa hips kabla ya kupewa dili

0 comments:

Post a Comment