Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, April 3, 2012

Mwakilishi wa mradi wa Fahari akionesha bidhaa zake

Julie Lawrence wa mradi wa Fahari kutoka kisiwani Zanzibar akionesha bidhaa za pochi ambazo anazishona kwa kushirikiana na akina mama wa kizanzibari, hapa ilikuwa ni wakati wa mauzo ya bidhaa hizo

0 comments:

Post a Comment