Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, April 10, 2012

Mengi ya kujifunza kutoka kwa Kanumba

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimjulia hali mama yake Kanumba
 Akisaini kitabu cha maombolezo
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki alikwenda kumpa pole mama Kanumba
 Umati mkubwa watu uliojitokeza
 Wengine walishindwa hata kutembea
 Wapo waliopanda juu ya ukuta ili kuhushuhudia mwili wa Kanumba ukipita
Bila ya kujali hatari ya usalama wao hawa walilazimika kupanda juu ya bango la kutangazia.

Na Mwandishi Wetu.

Kanumba alikuwa mmoja kati ya watu waliotumia vema elimu zao za sanaa kuifunaisha jamii ya watanzania hali hiyo ndio iliyopelekea kuzikwa kwa heshima hizi zote ambazo leo watu mbalimbali wanalazimika kujumuika katika kumuaga, Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa kijana huyu wa miaka 28

0 comments:

Post a Comment