Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, April 3, 2012

Wabunifu wa TZ wana mengi ya kujifunza kutoka South Afrika Fashion Week


 Mwanamitindo mahiri wa kitanzania nchini Afrika Kusini Millen Magese akipita mbele ya watazamaji wakati akionesha vazi lililobuniwa na Evelyine Rugemalila.
 Wadau wa ubunifu nchini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa onesho la mavazi la Afrika Kusini.

Mbunifu wa mavazi Evelyine Rugemalila akipita mbele ya jukwaa baada ya wanamitindo kuonesha mavazi yao katika wiki ya mavazi ya Afrika Kusini.


0 comments:

Post a Comment