Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, April 16, 2012

Elimu iboreshwe kwa watoto waliopo Magerezani.




Hivi sasa kumekuwapo na mwamko mkubwa wa elimu katika sehemu mbalimbali wanazoishi watu walio katika mazingira magumu.

Mfano mmojawapo ni katika maeneo ya magereza ambapo wapo watu kutoka makundi mbalimbali yakiwamo ya watoto na watu wazima.

Kundi la watoto limekuwa kwa muda mrefu halikumbukwe kama ni kundi linalostahili elimu na kusaidiwa kwa kwa hali na mali.

Mashirika mengi yamekuwa yakitoa misaada kwa makundi ya watoto walio katika mazingira magumu wahishio mitaani na sio wale waishio katika magereza.

Inatakiwa watoto walio magerezani kusaidiwa na kupewa kila mahitaji wanayostahili.



0 comments:

Post a Comment