Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, April 20, 2012

Chuo Kikuu Dodoma Chapewa msaada

 Airtel juzi ilitoa kompyuta 20 na vitabu 104 kwa ajili ya kusaidia Chuo Kikuu cha Dodoma msaada huo una thamani ya Shilingi Milioni 25 anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa Wilya ya Bhai Betty Mkwasa 
Watu kadhaa wakiwamo wanafunzi na walimu wa Chuo hicho wakishuhudia msaada huo ukitolewa na mwakilishi wa Airtel Jackson Mbando

0 comments:

Post a Comment