Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, April 4, 2012

Mengi nimejifunza katika uandishi wa habari za mitindo Afrika Kusini

 Nikiwa na wadau wa mitindo katika wiki ya mitindo nchini Afrika Kusini, moja ya masuala ambayo nimejifunza katika wiki hii ni namna ambavyo wanamitindo wa huku wanavyoweza endesha tasnia hii kibiashara na namna ambavyo waandishi wa huku wanavyojifunza masuala ya kuandika habari za mitindo wakiwa tangia vyuoni
Nikimfanyia mahojiano mbunifu kutoka Kenya aitwaye Liz na mwanamitindo wa Nigeria Aminata (aliyesimama)

0 comments:

Post a Comment