Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, October 30, 2012

Jionee utofauti wa mazingira ya michezo kwa watoto ambao ni wanafunzi

Watoto hawa ni wanafunzi wa shule moja mkoani Singida wakiwa wanacheza katika sehemu ya uchafuchafu mara baada ya kutoka darasani

Hawa nao ni watoto wa shule moja iliyopo hapa Jijini Dar es salaam wakicheza baada ya muda wao wa masomo.    

0 comments:

Post a Comment