Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, October 18, 2012

Fountain Gate Academy shule ya kisasa inafundisha vizuri, wahi sasa


 Madarasa mazuri na ya kuvutia yanayomwezesha mwanafunzi kusoma kwa amani na utulivu

 Kuna namna nzuri ambavyo vyumba vya madarasa vimewekwa katika mpangilio shirikishi katia ya mwalimu na mwanafunzi kusoma na kujifunza pamoja kama marafiki
Kwa kawaida namba na herufi huwa zinavutia katika kupendezesha madarasa kama ambavyo darasa hili likiwa limepambwa na nambari na hivyo kumfanya mwanafunzi kuwa katika hamasa ya kusoma muda wote

0 comments:

Post a Comment