Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, October 26, 2012

Hasan Majaar Trust Fund (HMTF) yawanusuru wanafunzi kuendelea kukaa chini mkoani Njombe

Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi akiwa katika picha ya pamoja na wadau wengine muda mfupi baada ya kukabidhi madawati nyumba yake ni  Mkurugenzi wa Hasan Majar Trust Fund, Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo (kulia kwa Zena)

Wanafunzi wakifurahuia baada ya makabidhiano hayo

                                         "Ngoja tuyajaribu kwanza haya madawati"
Inakuwa ni furaha kwa wanafunzi ambao walikuwa wakikaa chini kw amuda mrefu lakini inafika wakati wanapatiwa msaada wa mawadati, inadibi wakijikuta wakifurahia tukio hilo na kujiachia kwa kucheza ngoma kama inavyoonekana pichani

0 comments:

Post a Comment