Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, October 20, 2012

KDTF yatoa zawadi kwa washindi wa Mama Shujaa wa Chakula pia yatoa elimu


                                                                     Shanila Habib Managing Director
Kalua Development Trust Fund akimkabidhi mama Elimiana Eligaesha zawadi baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula lililofanyika kijiji cha Maisha Plus

Akiwakabidhi akina mama wengine zawadi

0 comments:

Post a Comment