Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, February 14, 2012

Jamii iwaelimishe watoto kucheza salama

Watoto hawa wamekutwa wakicheza katika mbao zilizokuwa katika eneo la Motni Mtongani inatakiwa jamii kushiriki katika kutoa elimu ya usalama kwa watoto ili kuepusha kuumia kwa kuwa mbao hizi zingeweza kuwadondokea

0 comments:

Post a Comment