Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, February 14, 2012

Elimu ya usalama muhimu kwa watoto kama hawa

Si suala la wazazi peke yake ndio wenye jukumu la kuwasaidia na kuwaelekeza watoto juu ya suala la usalama wao lakini pia ni jukumu la wanajamii kwa ujumla wake kuwaelekeza na kuwaendeleza kielimu watoto waliopo katika mazingira yanawazunguka.

Watoto hawa walikutwa wakicheza katika mtalo uliopo kandokando ya barabara ya kuelekea Mkuranga mkoa wa Pwani

0 comments:

Post a Comment