Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, July 3, 2013

Wanafunzi pleaase someni acheni kufanya ufuska

Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.

Hata hivyo mfumaniwa mwenzake  ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.



Hii inasikitisha sana kuona kuwa wapo wanafunzi ambao baada ya kusoma wanakaa kuendeleza masuala ya mapenzi na sijui hii hali itamalizika lini.



Wazazi hawa waliamua kumfuatilia mtoto wao na kumkuta akijihusisha na suala la mapenzi na mpenzi wake katika nyumba ya kulala wageni.

Hatua hiyo ya wazazi kufuatilia sakata hilo inatia moyo kwa kwa ndio wazazi wanavyotakiwa kufanya kila mara kufuatilia nyendo za watoto wao.

  

0 comments:

Post a Comment