Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, July 17, 2013

Bibi aibukia Epiq BSS Mwanza kuimba ili amsomeshe mwanae

Alikuwa kivutio hata kwa maproduzya

Salamaa alijikuta kaicheza nae

Bibi mwenyewe ndo huyu akikamua na mtoto mgongoni

Hakika alikuwa kivutio kikubwa siku hiyo

Akiendeleza makamuzi
Bibi huyu ambae alijiita jina la kisanii QP aliamua kujiingizaa kwenye kuimba ili angalau apate hela ya kumsomesha mwanae huyo mgongoni ambapo aliimba nyimbo za Hip Hop na nyinginezo.

Mbali na kuwa alishindwa kupita lakini aliambulia hela shilingi elfu 50 ili aweze kumuendeleza mtoto wake huyo

0 comments:

Post a Comment