Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, May 10, 2013

Vyuo viwe na Mawaziri wa Jinsia


Ianzishwe waziri wa Jinsia Vyuo Vikuu
Wanafunzi wa vyuo vikuu wametakiwa kuanzisha utaratibu wa kuwa na mawaziri wa Jinsia ili angalu waweze kupigania haki za masuala ya jinsia vuoni humo wakiwamo wanawake.

Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Wanawake, Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu wakati akihutubia katika bunge leo.

Alisema kuwa kwa sasa asilimia kubwa ya wanawake wameambukizwa HIV wakiwa vyuoni huku ile ya wanaume ikiwa ni ndogo.

Alisema kuwa hali hiyo sio nzuri kwa maendeleo ya wasichana na hivyo kuaomba wanafunzi kupitia serikali zao za vyuo kuhakikisha kuwa wanaunda waziri wa jinsi ili mambo yaweze kuwa sawa.

0 comments:

Post a Comment