![]() |
| Huyu ndio Malaika mwenyewe Bella mwanafunzi aliyetutoka mwaka jana, yani mwanafunzi huyu alikuwa na malengo mengi sana. |
![]() |
| Anna Tibaijuka Waziri wa Ardhi na Makazi akiingia |
![]() |
| Sehemu ya msalaba |
![]() |
| Sehemu ya watu kukaa |
![]() |
| Mama mzazi wa bella akiwa anasalia sehem ya kabuli |
![]() |
| Umati wa watu waliokuwepo |













0 comments:
Post a Comment