Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, May 12, 2013

Picha za uzinduzi wahuduma ya internet ya 4G speeds kutoka Tigo


Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam hakimuliza swali General  Manager wa Tigo , Diego Gutierrez Kwenye uzinduzi wa INTANETI YA HARAKA ZAIDI TANZANIA, huduma ya intaneti ya 4G, ambayo ni huduma yenye nguvu zaidi ya vipimo vya hadi 42Mbps itakayowawezesha wateja hao kuperuzi, kupakua na kupakia taarifa mbalimbali kwenye mtandao na kucheza gem kwa haraka zaidi kuliko ilivyokuwa siku za nyuma.screen ya kushoto- wanafunzi wa chuo cha Dodoma wakiudhuria swali hilo


General Meneja wa kampuni ya Tigo , Diego Gutierrez( kushoto) hakizindua INTANETI YA HARAKA ZAIDI TANZANIA, huduma ya intaneti ya 4G, ambayo ni huduma yenye nguvu zaidi ya vipimo vya hadi 42Mbps itakayowawezesha wateja hao kuperuzi, kupakua na kupakia taarifa mbalimbali kwenye mtandao na kucheza gem kwa haraka zaidi kuliko ilivyokuwa siku za nyuma.Kulia Deon Geyser (mfanyakazi kutoka Tigo)

Uzinduzi huo umefanyika kupitia teknologia ya mikutano kwa njia ya mtandao yaani ‘video skype’ iliyounganisha mikoa 4 kwa hotuba maalum iliyokuwa ikitolewa na Ndg. Gutierrez kutoka oficini kwake makao makuu ya kampuni ya tigo Dar Es Salaam.Mikoa shiriki katika uzindizi huo pamoja na Dar Es Salaam ni Dodoma, Arusha na Morogoro




                                                       Waandishi wakichez agemu siku hiyo


                                                       Zawadi kwa washindi


                                                     Zawadi kwa wanafunzi wa chuo

0 comments:

Post a Comment