Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, August 2, 2012

Maelfu wanufaika na elimu ya muziki kutoka EBSS Coco beach

Umati mkubwa wa watu waliojitokeza katika usaili wa shindano la kuinua vipaji la epiq bongo star search (ebss) katika fukwe ya coco
Majaji wa shindano la epiq bongo star search wakionekana kufurahishwa na moja kati ya vipaji vilivyojitokeza jana katika usaili unaomalizika leo coco beach
Kijana huyu aliamua kutumia kinanda ili kuwavutia majaji katika usaili wa shindano la epiq bongo star search (ebss)

0 comments:

Post a Comment