Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, August 12, 2012

Chuo Kikuu Dodoma chamwagiwa misaada ya vitabu 300 kutoka Tigo

\ makamu mkuu wa chuo cha UDOM, profesa Ludovick Kinabo (katikati) akiishukuru kampuni ya Tigo kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya chuo cha UDOM, pembeni yake ni meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila pamoja na mkurugenzi wa Tigo kanda ya kati, Fadhila Said.

Profesa Ludovick Kinabo (katikati) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila , anayeshuhudia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kati, Fadhila Said.

0 comments:

Post a Comment