Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, August 14, 2012

Jarida la Manispaa ya Ilala lazinduliwa rasmi, linaelimisha na kutoa taarifa mbalimbali za Ilala

Meya wa Ilala azindua jarida maalum lenye kubeba ujumbe wa manispaa hiyo kuhusiana na elimu na masuala mengine ya maendeleo Pichani Meneja wa masoko na mawasiliano wa Benki ya Exim Linda Chiza akikabidhiwa jarida la Ialala na Meya wa Manispaa hiyo ikiwa ni inshara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha uchapishwaji wa jarida hili

(pia ingia katika facebook page yetu ya elimuboratanzania)

0 comments:

Post a Comment