Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, February 16, 2013

Elimu ya kusaidia albino iendelee kutolewa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya  wa tatu kulia  akibubujikwa
na  machozi  juzi usiku  baada ya  ya Kaimu Kamanda wa Polisi  Mkoa , Peter Ngusa
(kulia)  kumuonesha mkono ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa  ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa  poroni kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga .Watatu kushoto  ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha . (Picha na Peti Siyame)



 

0 comments:

Post a Comment