Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, September 2, 2013

Msanii Lulu sasa kurudi shule, uzinduzi wake wafana

Wasanii wakongwe waliohudhuria uzinduzi huo

Steve

Jb na wazungu wanaotengeneza siri ya mtungi

Lulu na meneja wake Rukaza

Yahaya, Dude

Msanii Lulu akiimba

Mama Kanumba akipewa mihela na Wema

Wageni
Habari
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ambae amezindua filamu yake jusi ya Foolish Age amesema kuwa kwa sasa mpango wake pi ani kurudi shule kuongeza elimu.

Aliiambi abolg hii kuwa amekuwa akifanya sanaa kwa muda na kwa sasa anaona kuwa ngoja asomee masomo mengine mbali na kuwa ataendelea kufanya sanaa yake kama kawaida

0 comments:

Post a Comment