Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, September 2, 2013

Onesho la elimu la Elimu Expo limefungwa rasmi, lilifana sana

Wanafunzi wa shule ya Premier Girls Secondary School wakionesha uwezo wao katika somo la Kemia


Hawa ni wanafunzi wa Secondary ya Loyola

wamebuni namna ya kutengeneza progamu mbalimbali za kompyuta

wakiwa kazini

Wachapishaji na wasambazaji wa vitabu kutoka kampuni ya Aidan



Hapa wataalamu kutoka Aida wakitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea banda lao

Wafanyakazi wakiangalia kitu katika kitabu




Wanafunzi wa shule ya msingi ya Uhuru Mchanganyiko wakiwa katika banda lao wakiimba pamoja huku mwenzao akipia gitaa wakati wa maonesho ya Elimu Expo yaliyomalizika juzi (Picha na Evance Ng'ingo

0 comments:

Post a Comment