| Akiwa na Meya wa Ilala wakiangalia picha ambazo ziliuzwa na fedha kutumika kuchangia upatikanaji wa madawati |
| Wakitafakari jambo |
| Mzungu huyu kainunua picha |
| Hawa wadau wa elimu nao walinunua picha |
| Ujunbe ulikuwa Dawati ni elimu |
| Minzi alionesha picha yake aliyomchora Bi Kidude |
| Basi baada ya kazi ya kuuza picha Mama Bilal akaondoka. |







0 comments:
Post a Comment