Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilokuwa la
kiserikali linalojishughulisha na uwezeshaji wa elimu kwa njia ya Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano, Tehama, Julia Pierre-nina akiwaelekeza jambo walimu
kutokea shule mbalimbali namna bora ya matumizi ya Tehama, pembeni yake ni Mkuu
wa Mauzo na Masoko, Adam Kawa (Picha na Evance Ng’ingo)
 







 
 
 
 
 
 
 Posts
Posts
 
 

0 comments:
Post a Comment