| George ahitimu kidato cha nne |
| Ni huyo mwenye miwani |
| Kukawa na maigizo |
| Dada zake walikuapo kuchukua picha |
| Dada mtu kazini |
| George akishuhudia matukio |
| Huyo katikati ni mama George |
| Hii ni Keki iliyotengenezwa na wazazi wa wanafunzi shuleni hapo |
| Maigizo yakiendelea |
| Seriously i was so impressed by this student who got like five different prizes |
| Likapigwa dansi la nguvu |
| George na madada zake |
| Mkuu wa shule akiwa na mmoja kati ya wazazi wa wanafunzi wahitimu |
| George akipokea cheti chake |
| Add caption |
| Akapata picha kutoka kwa dada zake |
| na maua kutoka kwa mama yake |
| Safari ikaanza |
| Hoo umemuona mdogo wetu???? |
| Keki ya George |
| Mama George na ndugu zake George |
| Huyo dada mtu alikuwa hatulii picha kila mara za kutupia mtandaoni |
| George bila ya kuchelewa akaanza kuishugulikia keki |
| Akampatia rafiki yake |
| Kisha baba yake |
| Na baba mdogo |
| Kisha shangazi mtu |
| Add caption |
| Dada mtu akala keki yake |
| Shampeni ikanyweka |
| Then zikaja zawadi |
| Akiwa na baba na mama yake |
| Familia nzima |
| Mama na dada zake |
| Congratulation George |







0 comments:
Post a Comment