Wanafunzi hawa walikutwa wakicheza sarakasi shuleni kwao, mchezo huu ni mzuri na ni hatai kwa wanafunzi
| Mwalimu Patrick Bryson akimwelekeza mwanafunzi wa darasa la saba Elizabeth Bryson somo la Science shuleni hapo |
| Hili ni darasa la wanafunzi wa shule ya awali shuleni hapowakicheza somo la muziki |
| Wanafurahi sana somo hilo |
| Happy kids |
| Panafaa kwa mwanao kusoma hapo |
| Ni sehemu ya masomo yao shuleni hapo, fika mapema na mpeleke mwanao |
| like us on facebook | X | |||