Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, January 10, 2014

Tusikose tukio hili muhimu


Ni palepale Lowa Street Kinondoni ambapo kwenye duka la hisani la HMT  lililopo karibia na Vijana hall, kutakuwa na mnada wa mauzo ya vitu mbalimbali kuanzia shilingi 500 hadi 30000/=  hizo ni fedha za kitanzania.

Itakuwa ni kuanzia Jumatatu ya Januari 13 hadi  27 mwaka huu,

0 comments:

Post a Comment