Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, May 8, 2013

Siku ya kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Bella

Huyu ndio Malaika mwenyewe Bella mwanafunzi aliyetutoka mwaka jana, yani mwanafunzi huyu alikuwa na malengo mengi sana.

Anna Tibaijuka Waziri wa Ardhi na Makazi akiingia

Sehemu ya msalaba

Sehemu ya watu kukaa

Mama mzazi wa bella akiwa anasalia sehem ya kabuli

Umati wa watu waliokuwepo

0 comments:

Post a Comment