Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, May 12, 2013

Kampeni ya Twenzetu ya Clouds Fm yazidi kuelimisha watu huko Dodoma

Rioch Mavoko akipagawisha

Umati mkubwa wa watu waliojitokeza

Linex na mwenzake wakiwajibika

Dogo Asley



Burudani hii iliendana na elimu.  

Sambamba na kaulimbiu inayofuatia harakati za MADE IN TANZANIA,ambapo msukumo wake ni kuwashawishi Watanzania kuanza kuzifanyia kazi fursa hizo kwa umoja wa maendeleo,huku neno TWENZETU likitumika kama neno rasmi la mawasiliano.
 
Kama vile haitoshi uzinduzi huo utabeba harakati 
rasmi za vita dhidi ya Uharamia wa kazi za wasanii,Wabunifu nawavumbuzi mbalimbali.
 
Kesho kutakuwepo na matembezi ya kampeni ya kupinda uharamia
wa kazi za sanii yatakayoanzia uwanja wa Jamuhuri mapema asubuhi na kupolewa na Waziri Mkuu Mh. Pinda

0 comments:

Post a Comment