|
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam hakimuliza swali General Manager
wa Tigo , Diego Gutierrez Kwenye uzinduzi wa INTANETI YA HARAKA ZAIDI
TANZANIA, huduma ya intaneti ya 4G, ambayo ni huduma yenye nguvu zaidi
ya vipimo vya hadi 42Mbps itakayowawezesha wateja hao kuperuzi, kupakua
na kupakia taarifa mbalimbali kwenye mtandao na kucheza gem kwa haraka
zaidi kuliko ilivyokuwa siku za nyuma.screen ya kushoto- wanafunzi wa chuo cha Dodoma wakiudhuria swali hilo |
|
General Meneja wa kampuni ya Tigo , Diego Gutierrez( kushoto) hakizindua
INTANETI YA HARAKA ZAIDI TANZANIA, huduma ya intaneti ya 4G, ambayo ni
huduma yenye nguvu zaidi ya vipimo vya hadi 42Mbps itakayowawezesha
wateja hao kuperuzi, kupakua na kupakia taarifa mbalimbali kwenye
mtandao na kucheza gem kwa haraka zaidi kuliko ilivyokuwa siku za
nyuma.Kulia Deon Geyser (mfanyakazi kutoka Tigo)
Uzinduzi huo umefanyika kupitia teknologia ya mikutano kwa njia ya
mtandao yaani ‘video skype’ iliyounganisha mikoa 4 kwa hotuba maalum
iliyokuwa ikitolewa na Ndg. Gutierrez kutoka oficini kwake makao makuu
ya kampuni ya tigo Dar Es Salaam.Mikoa shiriki katika uzindizi huo
pamoja na Dar Es Salaam ni Dodoma, Arusha na Morogoro
|
Waandishi wakichez agemu siku hiyo
Zawadi kwa washindi
Zawadi kwa wanafunzi wa chuo
0 comments:
Post a Comment