![]() |
Nakaribishwa katika maktaba moja ipo Saadani vijijini mkoani Tanga |
![]() |
Hapa ndipo anapoweka vitabu vyake huyu mmiliki wa maktaba hiyo |
![]() |
Hap ndipo kwa ndani ya maktaba yake ambapo anafundisha na kuwapatia wanafunzi fursa ya kusoma vitabu bure |
Hili ni darasa lililopo Saadani katika mbuga kabisa
![]() |
Wanafunzi wakichota maji |
0 comments:
Post a Comment