Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, July 28, 2013

Wanafunzi wakijitokeza kwenye usaili wa EBSS Dar es salaam

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE Wasichana hawa ni mapacha ambao walijitokeza kwenye usaili wa shindano la Epiq Bongo Star Search (EBSS) uliofanyika kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam, walilazimika kuimba pamoja na ni tukio la kwanza kwa washiriki wawili kuimba pamoja kwenye usaili ...

Saturday, July 27, 2013

Vyuo vikuu vya afya kutoa elimu ya tiba asilia

Na Mwandishi WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema ipo haja siku zijazo kuanzishwa kwa vyuo vya elimu ya tiba ya asili na tiba mbadala ili kuwasaidia wananchi kupata huduma za afya kwa usalama zaidi.Aidha, imewataka waganga wa tiba asili kuandika historian a taarifa za wagonjwa wanaowahudumia kwa lengo la kuwezesha kupata takwimu za kweli za wanaohudumiwa na maendeleo ya afya zao kupitia tiba hizo.Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Tiba...

Serikali yatakiwa kuboresha elimu

SERIKALI imeshauriwa kuboresha mfumo wake wa utoaji elimu kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi wengi kufanya vizuri katika masomo na hivyo kuondoa tatizo la vijana  wanaohitimu katika ngazi mbalimbali hasa za Sekondari kuishia mitaani. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu  wa Taasisi inayojishughulisha na kuwaandaa wanafunzi kusoma nje ya nchi ‘Global Education Link’ (GEL) Abduimalik Mollel, alipokuwa akizungumza na gazeti hili...

Thursday, July 25, 2013

Uhaba wa mabweni: Mwanafunzi ajiua baada ya kubakwa

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MWANAFUNZI wa kidato cha nne, Flora Athanas (18) wa shule ya sekondari Mzindakaya wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, amejiua kwa sumu ya panya, baada ya kubakwa na mtu asiyefahamika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, alisema jana kuwa mwanafunzi...

Elimu ya bongo inapoteza wenye ujuzi-- IUCEA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 BARAZA la Elimu la Vyuo Vikuu vya Afrika  Mashariki (IUCEA) limesema  mfumo wa elimu nchini umekuwa ukipoteza watu wenye ujuzi wa mambo mbalimbali  kwa kigezo cha kushindwa katika mitihani ya kumaliza masomo. Katibu Mtendaji...