Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, December 7, 2012

Kuna mengi ya kujifunza katika Swahili Fashion Week 2012

 Hawa vijana walifundishwa masuala ya fashion na kisha kujinadi katika Swahili Fashion 2012 kwa ajili ya kuonesha uwezo wao wa kazi
Huyu jamaa nae sijui alitokea wapi na kiti chake kuwaharibia wanafunzi wangu wa Fashion mwaka huu


Musta[ha




Mbunifu kutoka  Zambia Esther























Jamaa wa Ujamaa Art Gallery wadau wa uchoraji wa picha walikuwapo.



Na Mdau wa Elimu aliyekuwepo katiak eneo la tukio

Suala la kuwa mbunifu katika shughuli mbalimbali zifanywazo ni sauala la msingi na zuri lenye kuwa na tija kubwa kwa maendeleo ya taifa.

Ubunifu huu unaweza kuwa katika nyanja mbalimbali kama vile sanaa, elimu na hata kazi za kawaida za kila siku ambapo ubunifu huongeza tija katika kazi na kuweza kuongeza maendeleo ya mtu mmoja mmoja au kikundi fulani cha watu.

Elimu ya darsanai inaweza kuongeza chachu ktk ubunifu na hili linajionesha katika ubunifu wa mavazi wa uliooneshwa katika onesho la Swahili Fashion lililoanza juzi ambapo kuna wabunifu mbalimbali walitumia elimu yao kubuni mavazi mbalimbali na kujiongezea chachu ya mafanikio yao

0 comments:

Post a Comment