Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, December 18, 2012

Elimu ya bure: kuweni makini kipindi hiki cha sikukuu manake majambazi ndo wameamka

Wananchi waliokuwepo eneo la Kariakoo wakishangaa vijana waliojeruhiwa na majambazi wakiwa katika gariwakipelekwa hospitali.

Vijana wenywe ndio hawa waliojeruhiwa na majambazi ambao walipiga tukio la ujambazi leo katika eneo la Kariakoo

Ilikuwa ni tukio la aina yake kwa kuwa watu walishindwa kuekelea kwenye pilikapilika zao za kila siku na kujikuta wakishangaa majambazi ambao walikamatwa na kupelekwa kituo cha Msimbazi.





Habari Kamili
Jana majambazi walivamia eneo la Kariakoo wakiwa na lengo la kuiba ambapo walifanikiwa kupora baadhi ya vitu lakini hata hivyo walikabiliana vya kutosha na mapolisi ambao waliwadhiobiti na kuwakamata baadhio yao.

Katika tukio hilo watu wawili walijeruhiwa huku mwanadada mmoja aliuwawa hawa wote ni raia wa kawaida waliokuwa kwenye miangaiko yao na kukutana na dhahama hiyo.

Ni vema watu mkawa makini kwa kipindi hiki cha sikukuu kwa kuepuka kukaa kwenye makundi hasa baa kwa kuwa muda wowote majambazi wanaweza ibuka na kuwapora kwa kuwa kipindi hiki cha sikukuu hali huwa mbaya sana

0 comments:

Post a Comment