Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, December 30, 2012

Ridhwani Kikwete atoa somo la maadili kwa Taswa

Katibu Mkuu wa Taswa Amir Mhando akiwatambulisha wageni katika mkutano mkuu wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo( Taswa) ulioendana sambamba na semina kwa waandishi wa habari Waandishi wakijitambulisha mmoja mmoja Ikafika muda wa kupiga picha na mgeni rasmi wa mkutano huo Ridhwan Mwandishi Mkongwe Mzee Salim akitoa mada katika mkutano huo Mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto akitoa elimu yake Watoa mada wakiwa wanafuatilai...

Friday, December 28, 2012

Mama Kikwete anastahili pongezi kwa kuimarisha elimu nchini

Rais wa Zanzibar, Dk Shein akimpongeza Mkurugenzi wa Home Shoping Center kwa kusaidia chakula kwa shule ya Wama kwa miaka mingi Shein akipanda mti kuimarisha mazingira shuleni hapo Hii ni sehemu ya bafu ambapo watoto wasomao shuleni hapo wanatumia Mahala pa kulala ni pasafi na pa kuridhisha Hiki ni chumba cha kusomea masomo ya kompyuta kwa wanafunzi wa shuleni hapo Shein alifurahia sana Geti la kuingilia shuleni hapo...

Tuesday, December 25, 2012

Elimu izingatiwe katika kuboresha Tasnia ya mavazi Bongo

Wanadada na wanamama ambao kwa kiasi kikubwa wamewekeza katiak sekta ya ubunifu wa mavazi nchini (kushoto) ni Asia Idarious ambae ni mwandaaji wa onesho la Usiku wa Kanga za Kale pamoja na Lady in Red akiwa na wadau wa mavazi ya Abaya ambayo ni ya dini ya kiislamu wakiwa katika onesho la mavazi hayo ya Abaya yaliyofanyika Hyat Kempinski Hoteli  Wageni wakiingia katika onesho hilo Wadada ambao wanatumia tasnia hiyo ya unbunifu w amavazi...

Wiki ijayo mtfahamu profile ya Mama wa nguvu wa Windhoeck

Mama Rgemalila wa Windhoek na Climax ambao wamekuwa wakisaidia harakati za fashion nchini na pia kuongeza ajira kwa watu wengi hasa vijana Mbunifu mahiri nchini Evelyn Rugemalila (katikati) pembeni yake ni watu ambao wamewabunia mavazi yao akiwamo mama Rgemalila kulia Mama Rugemalila akiwa na bana ya bidhaa yake pembeni ni inatia furaha kuwa na hali kama hii ya ujasiriamali katiak kujituma na kuendeleza kazi nchin...

Shear Charity Ball Party, husaidia mengi likiwamo suala la elimu

Shear wa pili kulia akisakata muziki na wadau wake kushoto ni Slyvia Lupembe Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) hapa ilikuwa katika Shear Party ya mwaka 2011 Mgeni rasmi alikuwa akitoa neno Shear huyu wa hapa mwanzoni ambae mwaka huu inaonekana kuwa hiyo function haikuwapo tena huku wadau wakiiulizia Fedha wazipatazo kwa njia ya michango husaidia masuala mbalimbali likiwamo suala la elimu pia...

Sunday, December 23, 2012

Nimekuja Bongo kujifunza muziki---Ngeruka Faycal

Elimu kumbe sio katika masuala ambayo yamekuwa yakionekana kuwa ni rasmi peke yake lakini kumbe unaweza kujiongezea elimu hata katika tasnia nyingine kama vile muziki na nyinginezo ambazo nazo zimekuwa zikipelekea maisha kusonga mbele huyu ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Rwanda ambae kwa sasa yupo hapa nchini kwa ziara ya kimafunzo ya muziki akishirikiana na wasanii wa hapa nchini kujifua zaidi st1\:*{behavior:url(#ieooui)...

Mmiliki wa Hoteli ya Peacock Mfugale atoa somo kwa wafanyabiashara ndogondogo

Mfugale akimkabidhi mwakilikishi wa TBC 1 zawadi kwa kuonesha inshara ya shukrani kutokana na msaada wa Redio hiyo katika kukuza biashara zake Mmiliki wa hoteli hiyo Mfugale akitoa neno la shukrani kwa waandishi kuwashukuru kwa msaada wao katika kusaidia kukuza biashara zake za hoteli Mwandishi wa Chanel Ten Kibwana Dachi akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waandishi waliohudhuria Waandishi walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali...

Pata michezo mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Cha Ardhi (ARU)

/* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Wanafunzi...