Yani ilikuwa ni furaha za kipekee kwa wakazi wa Mtwara ambao wameathirika na mafuriko hayo
Super Model akiingia kituoni hapo ama kweli huyu dada anastahili pongeze coz misaada aliyotoa angeweza kuitumia tu kwa faida zake mwenyewe lakini ameamua kusaidia jamiiHakusita kumbeba mtoto huyu aliyejulikana kwa jina moja la Arafat
Akatoa hotuba yake
Chumba ndio hicho ambapo walikuwa baadhi ya waathirika wakiishi
"Hasa sijui nianzie wapi sasa"
Mwamitindo akaanza kazi hiyo
Haya wakaanza kuingia wakiwa na watoto wao
Haya wakawapendeshea mazingira ya kulala.
Leo nawapatia picha tu kwanza lakini kazi kamili ni inakuja ksho kutwa
0 comments:
Post a Comment