Watoto kutoka shule mbalimbali wakipatiwa ujumbe kwanza |
Ongeza kichwa |
Mgeni rasmi akitoa risala yake |
Wanafunzi wakipewa vyeti |
Wanafunzi walioshinda ndo hawa hapa |
TAASISI
isiyokuwa ya kiserikali ya Hope For Young Girls imeendesha shindano la uandishi
wa insha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Tukio hilo
lilifanyika jumamosi iliyopita katika hoteli ya Giraffe na kuwashirikisha wazazi
wa wanafunzi hao walioshinda.
Katika
shindano hilo wanafunzi walioibuka na ushindi ni pamoja na Nicole Othman wa
sekondariya Kenton.
Shahista
Amini wa shule ya msingi Mlimani pamoja
na Conish Tayari wa shule ya msingi Mwenge.
Katikahafla
hiyo mgeni rasmi alikuwa Naja Mammen Nielsen ambae ni mwakilishi kutoka Global
Platform ya Upanga.
Katika hafla
hiyo wanafunzi mbalimbali walipewa vyeti
vya kutambua ushiriki wao katika shindano hilo.
Wanafunzi hao
ni Najima, Doreen,Grace,Agnes,Amie,Conish,Steve,Ashura,Janeth na Jane.
Mwisho
0 comments:
Post a Comment