Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, June 24, 2012

Zantel yanogesha Epiq Bongo Star Search Zanzibar

 Huyu kijana alikuwa ni mmoja kati ya waliwakuna majaji  Mkuu wa Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Zantel Awaichi Mawala (kushoto) akiimba na wasanii waliokuwa wakisubiria kuitwa ndani kwenye kuimba Kundi kubwa la watu wakisubiria                                     ...

Thursday, June 21, 2012

Tujumuike katika Misa ya kumuombea Issabela Jumamosi ijayo katiak Kanisa la Roman Catholic Makongo Juu

ISABELLA BENITA BULENGO 4TH APRIL 2007 – 24TH APRIL 2012 The family of Mr. & Mrs. James Rugemalira & their beloved daughter Evelyn Rugemalira would like to extend their heartfelt sincere appreciation to all who participated in any way during the funeral arrangements of their beloved granddaughter and daughter, ISABELLA. BENITA. BULENGO (BELLA) who was called on Tuesday, 24th April, 2012  to what is believed by many to be in the...

Monday, June 18, 2012

Zantel kupitia Epic Bongo Star Search yafanikisha elimu ya muziki kwa wasanii chipukizi

 Mkurugenzi wa Benchmark Production akimpokea mtoto mshiriki huyu aliyefahamika kwa jina la Joha  Mkuu wa Mawasiliano wa Zantel Awaichi Mawalla akitoa damu kuchangia kituo cha damu cha Dodoma, pia alitoa elimu na kuwasihi vijana kujitokeza kuchangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wenye mahitaji ya damu  Mshiriki huyu ni mwanafunzi wa kidato cha sita na alijitaidia kuonesha uwezo wake ingawaje hakufikia kiwango na majaji...

Diamond kunogesha Miss Dar Inter College

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

Sunday, June 10, 2012

REPOA na ESRF watoa somo la bajeti kwa kamati za bunge

 Mkurugenzi Mkuu wa Economic and Social Research Foundation, Bohela Lunogelo  Mtafiti kutoka Taasisi ya Research on Poverty Alleviation (REPOA) Jamal Msami akichangia mada  Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za serikali John Cheyo ambae pia ni Mbunge wa Bariadi Magharibi akizungumza na ofisa habari wa Repoa Hannah Mwandolwa Mbunge wa Kilwa Kaskazini Murtaza Mangungu(kushoto) mtafiti kutoka Repoa Msami (katikati) na Kongi Lugola...