Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, January 27, 2013

ICF na Kinu wanaendesha mjadala wa ICT kwa wanafunzi wa sekondari na vyuo



Amani wa Sekondari ya Tambaza ni mmoja wa waanzilishi wa ICF

 Jumanne nae alitoa somo kwa vijana ambapo aliwasihi kuepuka uoga katika kujaribu na kuwataka kufahamu kuwa hakuna mafanikio bila ya kuwa hali na uthubutu

Pia wadau mbalimbali wa ICT walikuwa wakifuatilia somo hilo

KINU's  officials


Kulikuwa na presentations mbalimbali kutoka kwa wadau wa ICT

Nacy Sumari akifuatilia presentation yake kabla ya kuifanyia kazi

Mijadala mbalimbali ikiendelea


Waafunzi wakifuatilia darasa

Pia kulikuwa na michezo mbalimbali ya chemsha bongo

Nancy Sumari alizungumzia kuhusiana na alivyojiingiza katika masuala ya ICT

Alielezea kuwa aliingia katika tasnia hiyo kutokana pia na msukumo wa rafikie Luka, huyo jamaa pembeni hapo


Lakini pia aliwasihi vijana hasa wadada kuamua kujiingiza katika fani ya masuala ya ICT kwa kuwa kuna masuala mengi ya kujifunza


Luka mmiliki wa Bongo5.com ambae pia ni mmoja kati ya waanzilishi wa KINU alipata nafasi ya kuzungumzia
utendaji wa Blog yake hiyo
Alisema kuwa ikiwa ni moja kati ya Blog za mwanzo ikiwa na miaka 6 katika gemu pia alitoa changamoto kwa vijana kujiamini na kutokata tamaa katika kujaribu masuala mbalimbali likiwamo suala hilo la ICT

Hawa ni wanafunzi wa sekondari za Tambaza na Kibasila ambapo nao ni wanaharakati wa masuala ya ICT shuleni kwao

Ikapigwa picha ya pamoja

Then Nancy akapiga picha na wasichana wadau wa ICT

Wadau wa KINU na ICF wakiwa katika picha ya pamoja.   Habari zaidi kesho


0 comments:

Post a Comment