Wednesday, January 30, 2013
Tuesday, January 29, 2013
Albino waliohitimu masomo yao wakabidhiwa vyeti
11:33 PM
No comments
Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Under
the Same Sun, Peter Ash (kulia) akimkabidhi cheti cha kumtambua mhitimu wa
kidato cha nne aliyekuwa akifadhiliwa na mpango wa taasisi hiyo, Faudhia
Kitenge wakati wa hafla ya kuwakabidhi vyeti vya kuwatambua iliyofanyika Dar es
Salaam juzi. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald
Mengi.
Monday, January 28, 2013
Denti Lulu ashindwa timiza mashari ya dhamana
7:11 AM
1 comment
Sunday, January 27, 2013
ICF na Kinu wanaendesha mjadala wa ICT kwa wanafunzi wa sekondari na vyuo
2:17 AM
No comments
Amani wa Sekondari ya Tambaza ni mmoja wa waanzilishi wa ICF |
Jumanne nae alitoa somo kwa vijana ambapo aliwasihi kuepuka uoga katika kujaribu na kuwataka kufahamu kuwa hakuna mafanikio bila ya kuwa hali na uthubutu |
Pia wadau mbalimbali wa ICT walikuwa wakifuatilia somo hilo |
KINU's officials |
Kulikuwa na presentations mbalimbali kutoka kwa wadau wa ICT |
Nacy Sumari akifuatilia presentation yake kabla ya kuifanyia kazi |
Mijadala mbalimbali ikiendelea |
Waafunzi wakifuatilia darasa |
Pia kulikuwa na michezo mbalimbali ya chemsha bongo |
Nancy Sumari alizungumzia kuhusiana na alivyojiingiza katika masuala ya ICT |
Alielezea kuwa aliingia katika tasnia hiyo kutokana pia na msukumo wa rafikie Luka, huyo jamaa pembeni hapo |
Lakini pia aliwasihi vijana hasa wadada kuamua kujiingiza katika fani ya masuala ya ICT kwa kuwa kuna masuala mengi ya kujifunza |
Luka mmiliki wa Bongo5.com ambae pia ni mmoja kati ya waanzilishi wa KINU alipata nafasi ya kuzungumzia |
Hawa ni wanafunzi wa sekondari za Tambaza na Kibasila ambapo nao ni wanaharakati wa masuala ya ICT shuleni kwao |
Ikapigwa picha ya pamoja |
Then Nancy akapiga picha na wasichana wadau wa ICT |
Wadau wa KINU na ICF wakiwa katika picha ya pamoja. | Habari zaidi kesho |
Meya wa Ilala Jery Silaa awataka wasanii kuielimisha jamii kuhusiana na amani
1:48 AM
No comments
Silaa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) shilingi milioni 3 kwa ajili ya kuanzisha ofisi za shirikisho hilo |
Akiwasalimia wapenzi wa burudani waliojitokeza katika ukumbi wa Dar Live |
Alipata muda wa kusalimiana na wasanii mbalimbali hapa akiwa na Jack wa Chuzi |
Mhh Meya na Batuli. |
Meya wa Ilala Jerry Silaa amewataka wasanii wa filamu na maigizo kuhakikisha kuwa wanaielimisha jamii kuhusiana na masuala ya umuhimu wa amani.
Silaa alisema hayo jana wakati akizungumza kwenye hafla ya usiku wa wasanii wa filamu iliyofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo pia alitoa shilingi milioni 3 ikiwa ni mchango wake kwa wasanii hao ili wapate kukodisha ofisi yenye hadhi. zaidi ingia www.tzdadaz.blogspot.com
Friday, January 25, 2013
Zantel ilivyonogesha graduation ya kidato cha sita Tambaza Secondary
7:41 AM
No comments
Mkurugenzi wa Wateja wakubwa wa Zantel Ahmed Seif katikati akifuatilia kwa umakini graduation hiyo |
Wahitimu wenyewe ndio haooo |
Pia walifanya maigizo kuwahamasisha wanafunzi wenzao wajitunze na janga la Ukimwi |
Pia kulikuwa na mchango wa kusaidia masuala mbalimbali ya wanafunzi shuleni hapo |
Seif akitoa risala yake |
Wanafunzi waliwaimbia wenzao nyimbo mbalimbali |
Pia kulikuwana zawadi kwa wanafunzi, wafanyakazi na walimu bora huyo ni mwalimu akichukua zawadi yake |
Mfanyakazi bora akichukua zawadi yake |
Muda wanafunzi kuchukua zawadi |
Wazazi hawakusita kuwapongeza wanafunzi hao |
Huyu dada anaitwa Sarafina Bunena yani alichukua zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Commerce, Accounts na Economic |
Huyu kijana ni Juma Mwakota alipata zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masuala mengi kiasi cha kumfanya Ahmedi Seif atake kupiga picha nae |
Sarafina akiendelea kuchukua zawadi zake |
Juma huyo |
Huyu ni Tabu Ng'weleni alichukua zawadi kutokana na kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Kiswahili na History |
Huyu dada anaitwa Gati Marwa yeye alikuwa mwanafunzi bora wa somo la Advanced Mathematics |
Na kusema kweli alistahili hizo zawadi huyu mrembo |
Wednesday, January 23, 2013
Nilijifunza soko la muziki bongo na nikaingia rasmi katika muziki
4:28 AM
No comments
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na fani yake ya muziki |
"Mimi nasema nyie ngojeni muone kwanza vitu vyangu jinsi nitakavyokuwa nakamua" |
Aliwaimbia waandishi wimbo wake mpya uitwao Closer |
Omary akawasilizisha waaandishi wimbo huo. |
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee amesema kuwa ilimchuikua miaka kadhaa akiusoma muziki wa Tanzania kabla ya kuamua kuingia rasmki na kuanza kazi hiyo.
Vanesa alisema kuwa anaamini katika elimu kuwa bila ya kuusoma muziki msnaii hawezi kwenda mbali kwa kuwa muziki ni fani ambayo pia inahitaji umakini wa hali ya juu.
Vanesa kwa sasa anatamba na wimbo uitwao Closer aliuimba hivi karibuni alisema kuwa bado anaendelea na harakati zake za kujifunza na kuendeleza muziki nchini na kuahidi mambo makubwa zaidi mwaka huu