Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, November 13, 2012

Wiki ya ujasiriamali nchini yaadhimishwa kwa kutoa elimu ya ujasiliamali kwa vijana

Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanafuatilia mjadala huo wa Global Entrepreneurship Week uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shirika la kazi duniani (ILO)

Chief Technical Adviser Women Entrepreneurship Development Project (yes- wedee) Mr Jealous Thirove  akitoa somo wakati wa uzinduzi wa week hiyo uliofanyika juzi ambapoa vijana walipata nafasi ya kufundishwa masuala mbalimbali yahusuyo ujasiriamali.

Vijana kutoka asasi mbalimbali za vijana walipata nafasi ya kupiga picha na uongozi baada ya kumaliza section ya kwanza ya elimu

Ofisa Mtendaji Mkuu wa East Afrika Speaker Bureau, Paul Mashauri akitoa somo la ujasiriamali kwa vijana ambapo alisisitiza juu ya suala la kujiamini katika kujiingiza kwenye ujasiliamali

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Professional Approach kwa upande wa Professioanal Approach Development (PAD) Lilian Madeje akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa ILO Alexio Musindo

0 comments:

Post a Comment